Wednesday, June 02, 2010

Wizi, ukatili au kitu gani!Mizigo hii ni ya ngh'ombe walioibwa katika boma la mfugaji wa kinasai na kuchinjwa 'kiaina' kwa ajili ya kuuzwa katika mabucha mbalimbali mjini Morogoro. (picha na Rama Ribe)

No comments:

Post a Comment