Monday, May 17, 2010

Mwanafunzi akitembeza miwa


Mwanafunzi huyu ambaye hakufahamika jina lake wala shule anayosoma, akiwa amebeba miwa aliyokuwa akiuza ili aweze kapata mahitaji yake ya kila siku kama alivyokutwa na mpiga picha wetu eneo la Mateka Manispaa ya Songea jana (PICHA NA MUHIDIN AMRI)

No comments:

Post a Comment