Saturday, May 02, 2009

Uhuru wa Vyombo vya Habari


Kesho tunaadhimisha Siku ya uhuru wa vyombo vya habari (World Press Freedon Day). Nimekuwekeeni ramani hii ya Afrika kuonyesha jinsi gani kila nchi inavyotekeleza uhuru huo.

Kielelezo:

Green: Free

Bue: Partly Free

Red: Not Free

No comments:

Post a Comment