Wednesday, May 13, 2009

Biharamulo Kama Busanda

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi mwingine mdogo wa kuzipa kitiwazi cha Biharamulo Magharibi. Kiti hicho kilikuwa cha Phares Kabuye aliyeenguliwa na mahakama, na baadaye kufariki dunia kabla ya rufaa yake kusikilizwa. Uchaguzi huo utafanyika Julai 9. Itakuwa si siku nyingi baada ya uchaguzi wa Busanda Mei 24, 2009. Hivi na huko mzee wa mwituni atashikwa sharubu? yetu masikio.-RSM

No comments:

Post a Comment