Tuesday, March 10, 2009

WALIOSOMA HAPA WAMELIWA


Shirila la Utangazaji la Uingereza (BBC) limefanya utafiti na kubaini chuo kikuu feki--wengi wameshaliwa kwa 'kusoma hapo' Hii ni sehemu ya habari yao...

But when BBC London went to the Irish International University (IIU) address in Dublin, there was absolutely nothing there. No staff, no faculty, no students, nobody had even heard of a university on the premises.

Mhusika alipobanwa, alisema hivi: Students are happy in their ignorance: "They are getting a degree, as long as they don't know, they're happy." But he is still not going to quit the IIU.

zaidi soma mwenyewe

No comments:

Post a Comment