Sunday, March 22, 2009

Thabeet Hashim

Thabeet Hashim akiwa na Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Augustine Mahiga. Zamani nilidhani huyu balozi ni mrefu.
Hasheem amechaguliwa kuwa finalist wa Mens College Player of the Year awards.
Kwa wale walioko Marekani wanaweza kupiga kura kwa kutuma sms 51234 ukiwa na ujumbe VOTE.
Asilimia 25% za kura zitatokana na kura za washabiki.

Ili kumpigia kura bofya hapa
http://www.thehrr.com/HRR_blog/2009/
03/four-finalists-named-for-naismith-award.html

2 comments:

MAKULILO Jr, said...

TUMPIGIE KURA HASHEEM THABEET AWE BORA MAREKANI NZIMA,FUNGUA LINK HII

http://www.thehrr.com/HRR_blog/2009/03/four-finalists-named-for-naismith-award.html

MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com

Ngurumo said...

Aise! Jamma mrefu hadi anakera!

Post a Comment