Tuesday, February 03, 2009

Zombe Huyo Tena

Abdallah Zombe akionyesha documents za wakili wake katika kesi ya wafanyabiashara wanne wa Mahenge. kesi hiyo imefikia hatua ya kuangalia kama zombe ana kesi ya kujibu au la. Usishangae sana kama ataachia huru. Yeye anasema akiachwa anakula sahani moja na magazeti yaliyoripoti habari zake na kumhusisha na mauaji hayo.

Hata akisindikizwa na manjagu ya Magereza kurudi kwao gerezani

No comments:

Post a Comment