Friday, February 20, 2009

Shahidi MUHIMU kesi ya Zombe hoi


Koplo Lema hawezi kutibiwa?

MAHAKAMA Kuu imekwama kuendelea kusikiliza kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa Mahenge, inayomhusisha kachero Abdallah Zombe baada ya mshitakiwa wa 11, DC Rashid Lema kushindwa kufika mahakamani kutoa ushahidi wake, kutokana na hali yake kiafya kuwa mbaya.

DC Lema ambaye ni shahidi muhimu katika keshi hiyo kulingana na maelezo yake ya awali, alitakiwa kutoa ushahidi wa utetezi wake dhidi ya tuhuma zinazomkabili pamoja na wenzake tisa, lakini ikaelezwa kuwa ni mgonjwa taaban, lakini hakuna juhudi zilizoelezwa kuhusiana na matibabu yake.


PATA HABARI KAMILI

No comments:

Post a Comment