Monday, February 09, 2009

Matokeo Kidato cha Nne

Kidato cha Nne
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yanaonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 10.13.

Wanafunzi wengi wamefanya vizuri kwenye Kiswahili (aslimia 81.59) na wengi wamefeli basic mathematics (waliofaulu somo hili ni asilimia 24.33 tu).Nyingi ay shule zinazoongoza kama kawaida ni za binafsi huku senminari zikionekana kufanya vema zaidi.
Shule 10bora zenye watahiniwa 30 au zaidi :

1.St Francis Girls (Mbeya)

2. Marian Girls (Pwani)

3. St Joseph-Kilocha Seminary (Iringa)

4. Uru Seminary (Kilimanjaro)

5. Dungunyi Seminary (Singida)

6. Anwarite Girls (Kilimanjaro)

7. St Mary Goreti (Kilimanjaro)

8. Feza Boys (dar es Salaam)

9. Don Bosco Seminary (Iringa)

10.Rosmini S.S (Tanga)

Shule 10 bora zenye watahiniwa chini ya 35.

1. Scolastica (Kilimanjaro)

2. Feza Girls (Dar)

3. Brookebond (Iringa)

4. Bethelsabas Girls (Iringa)

5. Maua Seminary (Kilimanjaro)

6. Rubya Seminary (Kagera)

7. St Marys Junior Seminary (Pwani)

8. Katoke Seminary (Kagera)

9. Kilomeni (Kilimanjaro)

10. St Carolus (Singida)


Shule 10 za mwisho zenye watahiniwa 35 au zaidi


1. Selembala (Morogoro)

2. Kilindi (Pemba)

3. Ngwachani (Pemba)

4. Michiga (Mtwara)

5. Ummussalama (Pwani)

6. Chunyu (Dodoma)

7 Busi (Dodoma)

8. Uondwe (Pemba)

9. Nala (Dodoma)

10. Maawal (Tanga)


Shule 10 za mwisho zenye watahinwia chini ya 35

1. Juhudi Academy (Zanzibar)

2. Mima (Dodoma)

3. Selenge (Singida)

4. Kijini (Zanzibar)

5. Kwamkoro (tanga)

6. kwala (Pwani)

7. Mtende (Zanzibar)

8. Ng'hoboko (Shinyanga)

9. Mbuzini (Pemba)

10. Mwadui Technical (Shinyanga).


matokeo zaidi yanapatikana kwenye tovuti http://www.necta.go.tz/olevel2008.htm

No comments:

Post a Comment