Tuesday, February 10, 2009

Zombe Aanza Kujitete


Abdallah Zombe, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai mkoa wa Dar es Salaam, ameanza kujitetea leo kuhusiana na kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu na deve taksi mmoja mwaka 2006. Katika utetezi wake amekana kuhusika, kuamuru wala kushiriki mauaji hayo; akadai kuwa yeye alikuwa kwenye msafara wa Rais... mengine kwa urefu baadaye...

No comments:

Post a Comment