Wednesday, January 28, 2009

Maajabu: Eti Chadema Imeshinda Mbeya!

Mchambuzi mmoja wa siuasa amenieleza kuwa kitendo cha 65% ya watu waliojiandikisha kupiga kura Mbeya Vijijini kutojitokeza ni ushindi wa Chadema iliyoenguliwa kwa kosa la kukiuka kiapo.

Anasema ukiondoa uchaguzi wa Pemba wa Maruhani, huu wa Mbeya utakuwa wa kipekee Tanzania bara ambapo waliojiandikisha wanajitokeza wachache kiasi cha 35% (kati yake CCM ikapata 73%, CUF 23% na SAU 1%).

Kwa maoni ya mchambuzi huyo ni kwamba waliogoma kupiga kura walikuwa ni wa Chadema.

No comments:

Post a Comment