Wednesday, January 28, 2009

La Kagoda si gumu hivyo


Hivi Kagoda peke yake?
Naona wanaojadili suala hili wamepotishwa, wanadhani ni Kagoda peke yake haijashughulikiwa. Tumesahau kauli ya Rais Jakaya Kikwete kuwa watakaorudisha fedha hawatashtakiwa. Taarifa za uhakika ni kwamba Kagoda ilirudisha fedha zote ilizoiba dola mil. 35 (kupitia kwa mhindi anasyetoa misaada minono CCM). Wapo pia wengine wengi waliorudisha na hawajashtakiwa wala hawatashtakiwa...Tutafute na wengine waliorudisha fedha, isiwe Kagoda pake yake, inaweza kuonekana ni chuki binafsi dhidi ya mhindi huyo.

No comments:

Post a Comment