Tuesday, February 12, 2008

Zigo la Richmond

Hii ndiyo mitambo ya Richmond ikishushwa kutoka kwenye dege kubwa la mizigo kutoka Marekani mwaka jana. Balaa lote lilianzia hapa, kwani mzigo huu ndio pekee uliowezekana. Mwingine uliletwa na Kampuni ya Dowans baada ya Richmond kushindwa kabisa.

No comments:

Post a Comment