Saturday, February 16, 2008

Mtoto adondoka kutoka kwenye 'ndege', apona


Mtoto huyu (katikati) akiwa katika Ofisi za Mwananchi, akisimulia kisa chake. Kushoto ni mwandishi wa Mwananchi na Kulia na Padri wa Parokia ya Kristo Mfalme, Tabata aliyemsindikiza. KISA KAMILI:
Na Peter Edson
MTOTO mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kijiji cha Kilima Hewa mkoani Mtwara amekutwa akiwa uchi kwenye eneo la Kanisa la Kristo Mfalme, Tabata jijini Dar es salaam baada ya kuanguka kutoka kwenye ungo waliokuwa wakisafiria kishirikina.
Akiongea na Mwananchi Jumapili, mtoto huyo alisema yeye na bibi yake, Binti Abdala Mkumba walikuwa wakisafiri kutoka Mtwara kwa usafiri wa ungo wakielekea mjini Morogoro kwenye mkutano wa wachawi wapatao 50 wenye lengo la kumpokea mwenzao aliyejiunga katika kundi lao hivi karibuni ili kumjengea nguvu na uwezo wa kupambana na nguvu nyingine zaidi soma
www.mwananchi.co.tz

No comments:

Post a Comment