Thursday, February 14, 2008

Diallo Akisoma Gazeti Bungeni


Aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo, Antony Diallo (kulia), akijipatia habari katika gazeti la Mwanahalisi, lililokuwa na headline: Richmond ya Rostam -Ikulu. Anayesikiliza mjadala wa bunge ni Mbunge wa Pangani, Mohamed Rished

1 comment:

Anonymous said...

Aisee Miruko kuna uwezekano wowote wa kupata hiyo makala ya gazeti la mwanahalisi?shukrani.nimekuwa nishangazwa sana na kiasi cha immunity alichonacho Rostam sasa nadhani hiyo inaweza kunipa baadhi ya majibu ...zemarcopolo

Post a Comment