Sunday, December 30, 2007

UCHAGUZI kENYA: Woga Watawala


Vitendo vya uporaji wa mali katika maduka. Kushambulia raia, kuchoma magari, kuchoma nyumba na mambo mengine macghafu...yamekuwa ya kawaida tangu jana, baada ya Tume ya Uchaguzi kuchelewesha matokeo ya Urais na kuibua hisia za kumpendelea Rais Mwai Kibaki. Picha hii inaashiria hali ilivyokuwa kwa walio wengi.

No comments:

Post a Comment