Monday, December 03, 2007

Untold (Picture) Story

Katika uandishi wa habari kuna 'untold story', yaani ile habari ambayo labda niseme ilichelewa kuripotiwa, (nikisema haijaripotiwa, siyo kweli, kwa kuwa siku hiyo [inaporipotiwa] inakuwa tayari imeripotiwa). Naomba kuuliza kwa picha kama hii ya Richard na madolalai yake, ambayo haikuonekana kwenye blogu zetu inaitwaje? Untold picture au?

No comments:

Post a Comment