Friday, December 28, 2007

Raila Mbele kwa Mbele

Hadi sasa taarifa za mchana huu, Raila Odinga yuko mbele ya Rais Mwai Kibaki kwa zaidi ya kura 1,000,000. Ameshajihakikishia viti 77 vua ubunge katika ODM. Kibaki na PNU yake wanavyo 15. Mawaziri 15 wa Kibaki, akiwemo Makamu wa Rais, Moody Awori na watoto watatu wa Moi wamebwagwa...

PNU Parliamentary losers: Kipruto Kirwa (Cherengany), Simeon Nyachae (N Chache) and Paul Muite (Kabete), others are Funyula: Moody Awori, Mukurweini: Mutahi Kagwe, Kieni: Chris Murungaru, Budalangi: Rapahel Wanjala, Rarieda: Raphael Tuju. Former president Moi’s sons all lose, Gideon Moi (Baringo Central) Raymond Moi (Rongai), Jonathan Moi (Eldama Ravine


Mengine yatakuja baadaye

No comments:

Post a Comment