Tuesday, December 04, 2007

Madege Mapya ya DialloHii ndiyo Desemba tuliyoahidiwa kuwa madege mapya ya Community Airline yataanza kuruka katika anga la TZ. Kutoka Dar-Mwanza, Kilimanjaro. Wenyewe wanasema bei itakuwa nafuu. Inasemekana yanamilikiwa na Antony Diallo. Booking zimeshaanza, ingawa hajulikani tarehe ya kuanza safari. Fungua Hapa ili kubook online.

No comments:

Post a Comment