Monday, December 31, 2007

Kenya Motooooooooooooo!

Asiyewafahamu GSU wa Kenya aangalie kichapo wanachotoa kwa waandamanaji. Hadi sasa inataarifiwa watu 124 wameshauawa nchini Kenya. Wapo wanaipigwa risasi na polisi, jeshi; na wengine, hasa Wakikuyu wanauawa na Wajaruo...Kisa kinajulikana. Eti Mwai Kibaki kaongezewa kura na kutangazwa mshindi dhidi ya Raila Odinga.

No comments:

Post a Comment