Thursday, December 13, 2007

Hatimaye Mahujaji Waondoka

Baada aya kukwama kwa siku tisa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Mahujaji wa TZ wanaokwenda Mecca, walianza kuondoka jana. Yameandikwa mengi juu yao, na huu ndio mfano.

No comments:

Post a Comment