Ni kwa walioshinda na walioshishindwa
Mmoja wa wagombea katika nafasi za Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi akibubujikwa na 'machozi ya furaha' mara baada ya
kutangazwa kuwa mmoja wa washindi katika uchaguzi huo. Swali linabaki moja, hivi wanaCCM wanakimbilia nini NEC? Hakuna mshahara, marupurupu, posho za mikao vichache ni Sh40,000 kwa siku. Kuna nini huko? anayefahamu atuwekee hapa tafadhali.
No comments:
Post a Comment