Saturday, November 24, 2007

Mwakyusa Akataa Ripoti ya MOI

RIPOTI ILIYOKATALIWA.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa ameikataa ripoti ya tume iliyochukunguza makosa ya madaktari wa MOI. Ameinda ya kwake ikiongozwa na Dk William Mahalu wa Hospitali ya Rufaa Bugando. Alisema ripoti ya Tume iliyokuwa imeundwa na MOI wenyewe, ilikuwa na kasoro za kitaalum. Bado tunafuatilia kasoro hizo. Soma MAELEZO zaidi.(Picha na Edwin Mjwahuzi)

No comments:

Post a Comment