Monday, November 26, 2007

HUYU NAYE SI WA KUBEZA


Jumuiya ya wanablog inazidi kupanuka. Kila mtu anaingia kwa staili yake, lakini hii ya KENNEDY ni mpya na yenye ubunifu wa kipekee.BOFYA HAPA uonge jinsi anavyokuletea kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment