Tuesday, November 20, 2007

Matumizi Bila Kukamilika Hadi Lini?


Ni miezi kadhaa sasa tangu utumike kwa mara ya kwanza kwa mechi za kimataifa kati ya Uganda, na Msumbuji, lakini kila siku tunaelezwa kwamba bado haujakamilika na serikali haikabidhiwa kutoka kwa wakandarasi kutoka China. Na sasa nasikia utatumika tena kesho kwa mechi ya Kilimanjaro Stars na Zambia. Hivi uwanja huu tutaendelea kuutumia bila kukamilika hadi lini?

No comments:

Post a Comment