Maandalizi ya Harambee ya kukusanya michango ya kurejesha hadhi kielimu kwa kina nshomile yamepamba moto. JK anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kesho katika Ukumbi wa Diamond Jublilee, bongo katika uchangishaji huo, ambapo Sh 800 milioni zinatarajiwa kupatikana.(
Picha na FK)
Siku hiyo imebatizwa Kagera Day kama hili bango linavyoonekana chini. Pia unaweza kufungua
www.kagerayetu.org kupata maelekezo ya kuchangia ukiwa mbali na
2 comments:
Wahaya jamani nendeni mkachangie elimu ya watoto wenu. Msijifanye mnasomesha Dar au Uganda kule vijijini bado wapo ndugu zenu
WE ANON HAPO JUU STOP UR HABIT!!!!!SASA KAMA MTU ANAHELA ASISOMESHE MTOTO UGANDA???POLE UTAJIJU!!!!!!!!!!
Post a Comment