Tuesday, November 27, 2007


Maandalizi ya Harambee ya kukusanya michango ya kurejesha hadhi kielimu kwa kina nshomile yamepamba moto. JK anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kesho katika Ukumbi wa Diamond Jublilee, bongo katika uchangishaji huo, ambapo Sh 800 milioni zinatarajiwa kupatikana.(Picha na FK)

Siku hiyo imebatizwa Kagera Day kama hili bango linavyoonekana chini. Pia unaweza kufungua www.kagerayetu.org kupata maelekezo ya kuchangia ukiwa mbali na

2 comments:

Anonymous said...

Wahaya jamani nendeni mkachangie elimu ya watoto wenu. Msijifanye mnasomesha Dar au Uganda kule vijijini bado wapo ndugu zenu

Anonymous said...

WE ANON HAPO JUU STOP UR HABIT!!!!!SASA KAMA MTU ANAHELA ASISOMESHE MTOTO UGANDA???POLE UTAJIJU!!!!!!!!!!

Post a Comment