Tuesday, November 27, 2007

Hii ni Nyumba ya Nani?


Ni nyumba ya mtu maarufu...Kama unaifahamu baelezee

4 comments:

Anonymous said...

Bila shaka hapa kwa mwalimu pale msasani

Anonymous said...

Bila shaka hapa kwa mwalimu pale msasani

Anonymous said...

Ni kwa Baba wa Taifa Mwal. J.K Nyerere msasani DAR

Anonymous said...

hapa panafanana na kwa Mh stepen WasiRa kama sio yeey basi ni kwa bwana mmoja anahitwa sigonda

Post a Comment