Wednesday, November 21, 2007

Kandabongoman

Huyu kanikumbusha mwanamuziki wa DRC, Kandabongoman. Ukipenda unaweza kumuita Kandabongoman wa Bongo. Hapa alikuwa anasakata muziki katika promosheni ya Kili. Kumbuka usiangalie kiatu chake.

1 comment:

Ansbert said...

Kule kijijini kwetu jamaa aliitwa "Kandab'om'mimwani".

Post a Comment