Wednesday, November 21, 2007

Hata Ukikaa Chini 'Utirio' Unapanda


Picha ya Mpoki Bukuku inaonyesha
Wanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Mkapunda wilayani Masasi, Mtwara, wakiwa wameketi sakafuni baada ya kumalizia mtihani wa mwisho wa mwaka leo asubuhi. Darasa hilo lina wanafunzi zaidi ya 140.

No comments:

Post a Comment