Thursday, November 29, 2007

Kagera Day na Senene

Kakau Band ilitumbuiza na kuwaburidisha wageni


Afande Tibaigana akishikilia 'Omutwaro' wa senene...Bei mbaya huo!


Mama Anna Tibaijuka na Nazir Karamagi wakifurahia senene. Tamu hizo!


Hata Wamasai mkitaka mnaweza kujaribu. Ni tamu sana.

No comments:

Post a Comment