Thursday, November 29, 2007

Rita Paulsen naye alikuwepo

Hapa Rita Paulsen anaonekana akitangaza mchango wa Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi wa Sh15m kuchangia Mfuko wa Elimu Mkoa wa Kagera mbele ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa. Katika Harambee hiyo, Jumla ya Sh 1.4 bilioni zilichangwa. Fedha taslim zilihesabiwa Sh 126 milioni.

No comments:

Post a Comment