Wednesday, November 21, 2007

Balozi Mahalu Kortini


Kesi si mchezo. Hata ukishinda, lakini cha moto unakuwa umekiona. Hapa Balozi Ricky (kuli) Mahalu, akiwa na wakili wake, Dk Cuthbert Tenga akitoka mahakamani anaposhtakiwa kwa ufisadi alipokuwa nchini Italia. Yaliyojiri kortini SOMA HAPA.(Picha ya Edwin Mjwahuzi)

No comments:

Post a Comment