Tuesday, September 05, 2006

Nani mkweli, Sauper au JK?

Ndugu wasomaji wa blogu hii, nimeletewa kipande hiki cha habari, naomba mkisome na mkipenda mtoe maoni juu yake.


"Hamjambo mnataka kumshika uongo Mpendwa JK?

Rudi nyuma hadi Jumatatu, Juni 24, 2002

The East African

Regional
Monday, June 24, 2002
Dar Officials Accused of
Abetting Arms Racket

By RICHARD MGAMBA
SPECIAL CORRESPONDENT
Top Tanzania security officials have been accused of complicity in an
illicit trade involving arms smuggled in by Russian-made aircraft that fly
fresh Nile perch fish fillet from Mwanza to Europe.

Commenting on the allegation, the Mwanza Regional Commissioner, Stephen
Mashishanga confirmed to The EastAfrican last week in Mwanza that in
October 2001: "We received the information from our security officers at
Mwanza airport about cargo planes being used to bring in arms in the
country and we informed top-level security organs for action."

He said that during the same period, his officers detained a cargo plane
from Ukraine which was loaded with arms, but a day later "we received
instructions from top-level security organs instructing us to release the
plane."

He, however, declined to reveal the names of the officials who gave the
instructions to release the aircraft.

On October 2 last year, security officers in Mwanza airport detained a
cargo plane believed to be carrying arms on a flight supposedly
originating from Israel to Angola.

The Antonov 12 plane, belonging to Ukraine Cargo Airways, with a capacity
of 35 tonnes of cargo, was however released the next day.

A government source told The EastAfrican in Mwanza recently that the
weapons enter the country through Mwanza airport, which has been described
as the conduit for arms smuggled into countries affected by civil strife
by arm dealers from Europe, Asia and the Middle East.

Government sources told The EastAfrican that security at Mwanza airport
was poor, making it a popular route through which arm dealers smuggle
their wares into the Great Lakes region.

The Member of Parliament for Shinyanga, Leonard Derefa, criticised
Minister for Home Affairs Seif Khatib for not taking measures to control
the situation.

The MP attributed the increased incidence of arms smuggling to security
laxity at places such as Mwanza airport.

Mr Derefa told parliament in Dodoma last week, "I asked the Minister for
Home Affairs what steps he was taking to curb the situation and he said he
was 'thinking' of taking measures. How can one be still 'thinking' about
something as serious as this instead of stopping the racket?"

He challenged the minister to resign "for being irresponsible on this
matter."

7 comments:

Simon Kitururu said...

Kama hii habari ni kweli basi serikali ilikuwa inajua swala hili.Kama Raisi hakupewa habari kama hii basi sijui huwa huambiwa nini tena.Katika ile filamu ya mapanki kuna jambo moja tu ambalo lilikuwa linanitia wasiwasi kuhhusu ukweli wake nalo ni la maswala ya silaha.Sasa hii habari inadhihirisha ukweli wa jambo hili

Anonymous said...

Simon, hii habari ilikuwa katika miak ambayo JK alikuwa Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Uhusiano wa Kimataifa, kumbe kiprotokali hii ilikuwa inamhusu kwa asilimia zote sasa haikupaswa aambiwe tena wakati akiwa rais kwa vile swala hili alilijua kwa vile kama habari inavyoonyesha lilifika hata Bungeni ambako hata yeye alikuwepo. Mimi nadhani imeshaeleweka ukweli uko wapi ila kisiasa ni lazima kukanusha maana ni sawa na kocha wa timu kusema kesho tutafungwa ingawa ni ukweli pengine lakini atajiponza na atasababisha watu kumlaumu, hiki ndicho kimefanyika katika swala hili. Miruko hongera kwa kutoa vielelezo kama hivi.Nakukumbuka katika lectures za "Investigative Journalism", hulikuwa huchezi mbali

Rama Msangi said...

Ndio maana nilisema kuwa, ukweli huwa haupingwi bali kukabiliana nao. Kazi nzuri sana mzee

Anonymous said...

Mie sipo huko ila nataka nione kazi zako ulipotembelea Uhabeshi na mtazamo wako kwa nchi ile ya kale ambayo ina historia kubwa za mfalme Haile Selesie na siki aakina Bob Marley walitokea huko.

Hebu basi tupandishie mambo ya huko Mzee tunakusubiri kwa hamu kubwa

Rashid Mkwinda said...

Sawa sawa kabisa hata mimi naunga mkono hebu tupandishie kazi za Uhabeshi nasikia ulikuwa huko katika ziara ya kimafunzo nadhani tupe mabo anuai ya huko hususan kunako habari za majanga ya njaa na mafuriko nini umejifunza katika nchi hiyo ya kihistoria?

Anonymous said...

Silaha ziko nje nje katika nchi za maziwa makuu. Nchi hizi hazitengenezi silaha. Lazima zinaingizwa kwa njia za vichochoroni. Kuingiza vitu kama silaha Tanzania sio jambo gumu. Penye rushwa hakuna linaloshindikana.

Unknown said...

ndugu zangu haya yote yana mwisho...ubaya ni kwamba mwisho wake unaweza kuwa wamoto sana.

Post a Comment