Thursday, November 03, 2005

Ni Wizi wa Kura au Mazingaombwe? - 2


Zanzibar, Tanzania
Baadhi ya wasomaji wangu wameonyesha nia ya kujua kwa undani juu ya makala yangu iliyotangulia 'Ni wizi wa Kura au Mazingaombwe?' Nimeona ni vizuri kuwapa maoni yangu kuhusu uchaguzi wa Zanzibar. Soma Hapa.

1 comment:

Boniphace Makene said...

Reginald, hilo halihitaji itikadi za chama, ukweli utabaki kukubalika kuwa mshindi halali wa Zanzibar kwa mara ya tatu ni CUF na mtawala wa dola ni CCM. Yote haya yana mwisho alijisemea Shafi Adam Shafi katika "Kuli"

Post a Comment