Wednesday, October 12, 2005

Wanablogu Wakumbukwa, wasilaze damu

Kwangu mimi haijawahi kutokea. Wanablogu wanahabari wamekumbukwa na sasa watapewa tuzo ya Blogu bora Kongoli hapa, uone shindano lenyewe na hapa kwa ufafanuzi zaidi.

No comments:

Post a Comment