Monday, May 18, 2009

Lowassa Kuanzisha ABC Television Arusha

Source: Daily News, Friday, 24th October 2008, Page 22.

Public Notice

Application for Content Services Licences (Broadcasting Licences) to TCRA

Name of Station: ABC Television
P.O. Box 11843
Arusha

Shareholders:
Robert Francis Lowassa (Tanzanian) - 60%
Elias Stephen Kordun Lukumay - 40%

Who is Robert Francis Lowassa and Elias Lukumay?
Majibu yako hapa, au kwa ufupi soma hapa chini:


BUNGE LA TANZANIA
________
MAJADILIANO YA BUNGE
________
MKUTANO WA NNE


Kikao cha Arobaini na Nne – Tarehe 16 Agosti, 2006
(Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi)
. . . . . .
SPIKA: Sina shaka mtakubaliana nami Waheshimiwa Wabunge kwamba, hiyo ni hoja kabambe ya kuahirisha Bunge. Kabla sijawahoji, kuna matangazo mafupi yafuatayo:-

Napenda tutambue kuwepo kwa familia ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mama Regina Lowassa, Bwana Fred Lowassa, Bwana Robert Lowassa na Master, kwa hiyo, huyu ndiyo mdogo mdogo tu Richard Lowassa. Wale ambao mmeshiriki vizuri kwenye Bunge na mnahudhuria mara kwa mara, mtakumbuka kwamba, Richard si mgeni sana, hapa kwa sababu mara kwa mara tunaonana naye pale nje, sielewi Mwenyezi Mungu, mambo haya sijui yanakuwaje? Hatujui hatma ya Richard, lakini Mungu aendelee kumsaidia inaelekea anapenda sana Bunge. Pia marafiki zao Bwana John Bakilana na Bwana Elias Lukumai. Karibuni sana na ahsante kwa ushiriki wenu. . . . . . . . . . . . .

No comments:

Post a Comment