MAKAMU wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka amekiri kuwa mlima Kilimanjaro umekuwa ukiisaidia nchi yake kukuza sekta ya utalii kutokana na Wakenya wengi kuutumia katika kujitangaza hasa wawapo kwenye nchi za ulaya.
Alisema “Wakenya wanapoenda Ulaya wanawaambia wazungu: Njooni Kenya ili muone mlima Kilimanjaro,” alisema Musyoka katika ziara hiyo ya kiserikali kwa mwaliko wa Tanzania.
Mlima Kilimanjaro unavyoonekana kwa mbali
Kilele cha Kibo cha Mlima Kilimanjaro. Zaidi soma hapa
No comments:
Post a Comment