Thursday, November 25, 2004

Huruma sasa Hakuna?

Familia ya Nyerere yahofia kunyang'anywa urithi

Na Reginald Simon, Dodoma

FAMILIA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere
imeishutumu serikali bungeni kwa kupuuza mapendekezo
waliyotoa katika Muswada wa Sheria ya Kuwaenzi Waasisi
wa Taifa uliopitishwa na bunge jana.

Shutuma hizo zilitolewa bungeni jana na mtoto wa Baba
wa Taifa, Rosemary Nyerere (Viti Maalum-CCM), wakati
anachangia mjadala wa muswada huo, uliowasilishwa na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti na
Utumishi, Dk. Mary Nagu.

Alisema, kwa namna fulani, familia yao ilishirikishwa
katika vikao vya kamati ya bunge ya Sheria na Utawala,
na kikao cha watalaamu wa serikali, lakini baadhi ya
mapendekezo waliyoahidiwa kwamba yataingizwa kweye
muswada yamepuuzwa.

Mbunge huyo alibainisha kuwa uandishi wa muswada huo
unaitia familia hiyo wasiwasi.

Kipengele kimojawapo kati ya viwili vinavyodaiwa
kupuuzwa, ni kukosekana kwa jedwali la orodha ya
maeneo ambayo familia ilipendekeza yaingizwe katika
kumbukumbu za mwalimu Nyerere.

Lengo la pendekezo hilo ilikuwa ni kuitaka serikali
isiichagulie familia hiyo maeneo yatakayoingizwa
katika kumbukumbu za mwalimu.

“Tuna hofu. Tutaondoa hofu ikiwa jedwali hilo
litawekwa katika sheria hii,” alisema Rosemary ambaye
hata hivyo, alisisitiza kuwa si lengo la familia
kukwamisha muswada huo.

Alisema ingawa baba wa Taifa alikuwa wa wote, warithi
wa mali binafsi za mwalimu ambazo zinajadiliwa katika
sehemu kubwa ya muswada huo ni familia yake, ‘si
serikali wala Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF)’.

Pia, familia ilipendekeza kurekebisha kifungu cha 21
kinachohamisha umiliki wa mali za mwalimu zilizoko
mikononi mwa mtu binafsi au taasisi, kama vile hotuba
za mwalimu alizomikisha kwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere
(MNF) kuwa chini ya serikali ili mali hizo
zisichukuliwe na serikali.

Mbunge huyo alisema kuwa muswada huo hauna tafsiri
rasmi inayotenganisha mali za familia na za serikali
ili wasiingiliane katika umiliki, jambo alilosema
asipolisemea familia ya mwalimu na watoto wake
wanaweza kumsuta.

Kuhusu matumizi ya jina la Nyerere, Rosemary alishauri
mfuko utakaoanzishwa na serikali chini ya sheria hiyo,
uitwe Mfuko wa Waasisi wa Taifa (Founders of the
Nation Trust Fund) ili jina lake lisiingiliane na
nyingine, ikiwemo inayotarajiwa kuanzishwa na familia.

Rosemary alilieleza bunge kuwa alipomfuata Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, Andrew Chenge juu ya mapendekezo ya
familia alimpa ‘majibu ya kushangaza.

“Tulikaa na wataalamu wakiwemo wa serikali
tukakubaliana sasa naelezwa kuwa ninataka kuwarudisha
nyuma na kuwa ahadi zilikuwa na kamati si za serikali.
Kwa kweli majibu hayo yalinishangaza,” alisema
Rosemary wakati kaka yake, Madaraka Nyerere
akisikiliza kwenye chumba cha wageni.

Hoja za familia hiyo, zimliungwa na mkono na mbunge wa
Sumbawanga Mjini (CCM), Paul Kimiti aliyesema endapo
serikali itaamua kila mali za mwalimu zifanywe
kumbukumbu wanafamilia watabaki bila chochote.

Alisema ingependeza nyumba ya mwalimu ya Mwitongo,
Butiama, kuwa ya kumbukumbu ili watalii wawe
wanakwenda kuona mwalimu alivyokuwa anaishi, lakini
hilo haliwezekani kwa kuwa ndiyo wanayokaa
wanafamilia.

Kimiti aliungana na Kambi ya Upinzani kupendekeza kuwa
kama serikali inataka nyumba za waasisi ziwe za
kumbukumbu, basi iwajengee nyingine.

Akiwasilisha maoni ya kambi hiyo, Grace Kiwelu (Viti
Maalum-CHADEMA), alisema muswada huo haujali maslahi
ya warithi wa kisheria wa waasisi wa Taifa na una
lengo la kuwafilisi.

Akiibu hoja za wabunge, Waziri Nagu, alisema si nia ya
serikali kuwafilisi warithi wa waasisi kwa kuwa hakuna
kitakachochukuliwa bila idhini ya familia husika.

Alisema serikali, kama ilivyopendekezwa na kamati ya
Bunge ya Sheria na Utawala, itaendelea kuwasiliana na
familia za waasisi hao, ya Mwalimu Nyerere wa
Tanganyika na Abeid Aman Karume wa Zanzibar.

mwisho

23 comments:

Evden eve nakliyat said...

hadımköy evden eve nakliyat
adalar evden eve nakliyat
arnavutköy evden eve nakliyat
avcılar evden eve nakliyat
bağcılar evden eve nakliyat
bahçelievler evden eve nakliyat
bakırköy evden eve nakliyat
sultangazi evden eve nakliyat
silivri evden eve nakliyat
çekmeköy evden eve nakliyat
çatalca evden eve nakliyat
merter evden eve nakliyat
güngören evden eve nakliyat
büyükçekmece evden eve nakliyat
şile evden eve nakliyat
zeytinburnu evden eve nakliyat
beyoğlu evden eve nakliyat
küçükçekmece evden eve nakliyat
kağıthane evden eve nakliyat
eyüp evden eve nakliyat
gaziosmanpaşa evden eve nakliyat
beykoz evden eve nakliyat
fatih evden eve nakliyat
tuzla evden eve nakliyat
sultanbeyli evden eve nakliyat
sancaktepe eve nakliyat
esenler evden eve nakliyat
şişli evden eve nakliyat
sarıyer evden eve nakliyat
beşiktaş evden eve nakliyat
esenyurt evden eve nakliyat
üsküdar evden eve nakliyat
pendik evden eve nakliyat
maltepe evden eve nakliyat
kartal evden eve nakliyat
beylikdüzü evden eve nakliyat
kadıköy evden eve nakliyat
Ataşehir Evden Eve Nakliyat
Şişli Evden Eve Nakliyat
Ümraniye evden eve nakliyat
Kurumsal Taşımacılık
İSTANBUL EVDEN EVE NAKLİYAT
ASANSÖRLÜ NAKLİYAT
EŞYA DEPOLAMA

Mahsun Seba said...

no deposit bonus forex 2021 - takipçi satın al - takipçi satın al - takipçi satın al - takipcialdim.com/tiktok-takipci-satin-al/ - instagram beğeni satın al - instagram beğeni satın al - google haritalara yer ekleme - btcturk - tiktok izlenme satın al - sms onay - youtube izlenme satın al - google haritalara yer ekleme - no deposit bonus forex 2021 - tiktok jeton hilesi - tiktok beğeni satın al - binance - takipçi satın al - uc satın al - finanspedia.com - sms onay - sms onay - tiktok takipçi satın al - tiktok beğeni satın al - twitter takipçi satın al - trend topic satın al - youtube abone satın al - instagram beğeni satın al - tiktok beğeni satın al - twitter takipçi satın al - trend topic satın al - youtube abone satın al - instagram beğeni satın al - tiktok takipçi satın al - tiktok beğeni satın al - twitter takipçi satın al - trend topic satın al - youtube abone satın al - instagram beğeni satın al - perde modelleri - instagram takipçi satın al - instagram takipçi satın al - cami avizesi - marsbahis

Anonymous said...

FON PERDE MODELLERİ
Numara Onay
mobil ödeme bozdurma
NFTNASİLALİNİR.COM
Ankara Evden Eve Nakliyat
trafik sigortası
Dedektör
Website.kurma
aşk kitapları

Anonymous said...

nft nasıl alınır
minecraft premium
lisans satın al
en son çıkan perde modelleri
uc satın al
yurtdışı kargo
en son çıkan perde modelleri
özel ambulans

hacklink said...

Good content. You write beautiful things.
mrbahis
mrbahis
taksi
sportsbet
vbet
hacklink
sportsbet
korsan taksi
vbet

tipobet said...

Good text Write good content success. Thank you
slot siteleri
kralbet
betmatik
betpark
poker siteleri
kibris bahis siteleri
mobil ödeme bahis
bonus veren siteler

burak said...

manisa
tunceli
amasya
balıkesir
şırnak

WT6G

Hazım94 said...

Kütahya
istanbul
Çankırı
Malatya
Maraş

UOFW

Yıldız said...

elazığ
erzincan
bayburt
tunceli
sakarya
6Yİ

KraliyetKaptan20 said...

https://titandijital.com.tr/
kilis parça eşya taşıma
bursa parça eşya taşıma
ığdır parça eşya taşıma
bitlis parça eşya taşıma
S75

CelestialCipherXY123456789OIWEST said...

antep evden eve nakliyat
bolu evden eve nakliyat
afyon evden eve nakliyat
tekirdağ evden eve nakliyat
artvin evden eve nakliyat
QP1QT

LunarSorceress said...

kayseri evden eve nakliyat
antalya evden eve nakliyat
izmir evden eve nakliyat
nevşehir evden eve nakliyat
kayseri evden eve nakliyat
7E8

0EDDCBrisaF15A7 said...

CE650
Mardin Parça Eşya Taşıma
Konya Evden Eve Nakliyat
Kırıkkale Evden Eve Nakliyat
Bilecik Evden Eve Nakliyat
Aydın Lojistik

75DF0Nasir55FB4 said...

C54C7
Bitlis Şehir İçi Nakliyat
Karabük Şehirler Arası Nakliyat
Antalya Lojistik
Tokat Lojistik
Binance Referans Kodu
Edirne Şehir İçi Nakliyat
Gümüşhane Evden Eve Nakliyat
Yozgat Şehirler Arası Nakliyat
Bitlis Evden Eve Nakliyat

F78DBTimothyC4235 said...

67214
https://referanskodunedir.com.tr/

Anonymous said...

TGHNJGJTHYCMJ
شركة كشف تسربات المياه

Anonymous said...

شركة مكافحة حشرات بخميس مشيط 0QMgJp4fY9

Anonymous said...

شركة تنظيف مساجد بالجبيل WfHlJpTMrR

Anonymous said...

شركة عزل اسطح بخميس مشيط 9xa46nR6UD

Anonymous said...

شركة تنظيف سجاد بالجبيل TnvBmiq8CS

Anonymous said...

شركة مكافحة النمل الابيض بالجبيل e8yP1dRMZo

Anonymous said...

شركة عزل اسطح بالرياض Q3zoo9Ag6i

Anonymous said...

شركة تنظيف فنادق بالاحساء eK2LkkNcg4

Post a Comment