Tuesday, August 24, 2010

Ambulance ya Bugando


Ambulance ya Hospitali ya Rufaa Bugando ikiwa kwenye msafara wa mgombea wa CCM, Rais JK. Sina uhakika kama imelipiwa na chama au itakuwa inasaidia misafara ya wagombea wa vyama vyote (Picha ya Katulanda)

No comments:

Post a Comment