Wednesday, February 04, 2009

'Zombe Hana Kesi ya Kujibu'


Mawakili wa utetezi leo wamewasilisha maombi Mahakama Kuu kutaka mteja wao, Abdallah Zombe achiwe huru kwa madai kuwa 'hana kesi ya kujibu'. Kwamba mashahidi wote hadi sasa (baada ya kumaliza ushahidi wa mashtaka) wamesema yeye hakuwapo katika eneo la tukio, ushahidi wao ni kuchanganyana na hivyo hakuhusika na mauaji.

No comments:

Post a Comment