Wednesday, February 04, 2009

Kumbukumbu ya Edwardo Mondlane


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Ushikiano wa Kimataifa wa Msumbiji Eduardo Kaloma akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph Warioba kwa kuadhimisha miaka 40 ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Eduardo Mondlane jana jijini Dar es Salaam. Picha na Fidelis Felix

No comments:

Post a Comment