Saturday, January 31, 2009

Rekodi ya Kanisa

Hili ndilo Kanisa alilojenga waziri john Mafuguli katika Jimbo lake la Chato ili litumiwe na waumini wa madhehebu 'yote' ya Kikristo. Limevunja rekodi ya kuzinduliwa na maaskofu wengi kama ubao wa jiwe la msingi unavyoonyesha hapo chini .
Kanisa Katoliki walikataa kutumia kanisa hilo kwa maelezo kwamba wanaepuka mgogo unaoweza kutokea baina ya makanisa hayo na utofauti wa ibada kati yao na wenzao.

Hii ni sanamu ya kiatu ya kumuenzi mwandishi wa habari aliyemrushia viatu George Bush huko Iraq
No comments:

Post a Comment