Tuesday, November 27, 2007

Tunakula Buku


Jikumbushe enzi zako ulipokuwa unakula buku darasa la kwanza

2 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Enzi zile za kipindi kileee.....lakini hawa si wanaigiziana kweli?

Mzee wa Sumo said...

Hii picha ni Karagwe ama wapi vimwanafunzi vinaonekana ni vihaya hivi, vinshomile vya baadae!

Post a Comment