Thursday, November 22, 2007

Kazi ya Daktari Haina Makosa

NI MAPENZI YA MUNGU

HUYU kijana Emmanuel Mgaya (20) ambaye alipasuliwa mguu badala yake kichwa; baada ya kupona jeraha la mguu akapasuliwa kichwa, hatunaye tena. Amefariki dunia. Mauti yamekuta Mgaya siku moja kabla ya ripoti ya uchunguzi wa sekeseke la makosa hayo yaliyofanyika katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) Novemba Mosi kutolewa. Some sekeseke kamili. Ukibonyeza HAPA utapata kasheshe ilivyoanzaRipoti hiyo inatolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa Mwakyusa leo.

No comments:

Post a Comment