Monday, November 19, 2007

Kazi na Dawa


Kama unavyoona, msosi na mboga yake juu kwa juu kwenye mkokoteni. Hapa sijui ni Kagera au eneo gani, lakini ukipata msosi wa hivi mwezi mmoja tu, tutakuona 'Mashavu Ihnyaaaa"

No comments:

Post a Comment