Saturday, May 02, 2009

Migingo: Chanzo cha mzozo wa Kenya, Uganda

Migingo ni kisiwa kidogo kuliko vyote vilivyopo katika ziwa Victoria, sehemu kubwa ya kisiwa hiki ni mawe makubwa.

Watu wapatao 500 wanaishi katika kisiwa hicho na 400 kati ya hao ni raia kutoka nchini Kenya.

Ingawa baadhi yao wamejenga nyumba, maduka, na nyumba za kulala wageni hakuna anayemiliki hati ya kiwanja.

No comments:

Post a Comment