Askofu Zachary Kakobe wa Full Gospel Bible Fellowship ametoa taarifa kulalamikia gazeti moja, kwa kumtangaza 'tapeli' Mei 3 (siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari). Kwa ufupi kasema, yeye si tapeli, ni maskini, anayejua vinginevyo ajitokeza aseme wazi. Pia yuko tayari kuchunguzwa kuanzia leo, na mwandishi husika awemo kwenye timu ya uchunguzi.
No comments:
Post a Comment