Friday, May 08, 2009

Duh! Majambazi Yalivyotikisa Kariakoo

Uzuri wa Watz polisi wakifanya kweli wanawapongeza bila kificho; wakivurunda wanawaponda bila kificho pia. Hapa wanashangilia kazi nzuri ya kupambana na majambazi Kariakoo leo asubuhi.
Hapo vipi jambazi akitokea kwa nyuma, labda huo mtutu ulioelekezwa nyuma ni utajifanya kazi yake

3 comments:

Anonymous said...

Hivi kweli polisi wa kawaida hawafanyi kazi mpaka wawepo FFU. Kuna haja kubwa ya kulijenga Jeshi la Polisi upya. Kwani wasingetokea FFU tungekua tunaongea mengine.

Anonymous said...

Anon hapo juu lazima ujue hata FFU nao ni polisi,wote wanapata mafunzo ya aina moja kule Moshi na siku ya mwisho ndo unaambiwa kuwa wewe ni FFU.So naona waache washirikiane!!

Anonymous said...

Lakini uje wazi kwamba jukumu la ulinzi wa raia lipo chini ya Polisi. FFU wana majukumu mengine kiutendaji nafikiria hivyo.

Post a Comment