"Chadema Kama Tarimeeeeee!"Ndivyo anavyoelekea kusema mgombea ubunge wa Chadema katika Jimbo la Busanda, Geita mkoani Mwanza, Phinias Magesa. Inaelekea mikutano ya chama hicho ina wafuasi wengi kuliko vingine; sina uhakika kama wafuasi hao ndio wapiga kura. RSM
No comments:
Post a Comment